Askofu Mokiwa awaongoza Waumini wake Kutoa Msaada na Kufanya Usafi Hospitali ya Mwananyamala –Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, January 01, 2017

Askofu Mokiwa awaongoza Waumini wake Kutoa Msaada na Kufanya Usafi Hospitali ya Mwananyamala –Dar es Salaam.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dk.Valentino Mokiwa (katikati), akiwaongoza waumini wa kanisa hilo Archidikonari ya Kinondoni kufanya usafi katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala Dar es Salaam leo January 01,2017,asubuhi wakati kanisa hilo lilipotoa msaada wa vitanda na magodoro katika hospitali hiyo vyote vikiwa na thamani ya sh.milioni 12.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad