Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati),
akikata utepe kuashiria upokeaji wa nyumba 20 mkoani Mwanza, zilizojengwa na
Taasisi ya Benjamini Mkapa.
|
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto),
akimpongeza mmoja wa wauguzi wa afya katika Zahanati ya Kijiji cha Sese
wilayani Magu baada ya kupata nyumba ya kuishi ikiwa ni miongoni mwa nyumba 20
zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa.
|
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisalimiana
na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza, alipowasili katika Kijiji cha Sese
wilayani Magu kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa.
|
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisalimiana
na baadhi ya watumishi wa taasisi ya Benjamin Mkapa alipowasili katika Kijiji
cha Sese wilayani Magu kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi hiyo mkoani
Mwanza hii leo.
|
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza
wakati wa halfa ya kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa,
mkoani Mwanza.
|
Mkuu wa
Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
wakati wa halfa ya kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa,
mkoani Mwanza.
|
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dkt.Hellen Senkoro, akizungumza
wakati wa halfa ya kukabidhi nyumba 20 kwa Waziri wa Afya, zilizojengwa na
taasisi hiyo mkoani Mwanza.
|
Baadhi ya
watumishi wa taasisi ya Benjamin Mkapa wakijitambulisha kwenye halfa hiyo.
|
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dkt.Hellen Senkoro (kushoto),
akimkabidhi Waziri wa Afya, taarifa kuhusiana na ujenzi wa nyumba 20 za
watumishi wa wizara hiyo zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani
Mwanza.
|
Viongozi
mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo akiwemo mgeni rasmi, Waziri wa Afya, Ummy
Mwalimu, wakisaini vitabu vya wageni.
|
Diwani wa
Kata ya Bujashi kilipo Kijiji cha Sese ambacho Zahanati yake imenufaika na
nyumba hizo, akitoa shukurani zake kwa serikali.
|
Mbunge wa
Jimbo la Magu, Boniventure Kiswaga, akizungumza katika hafla hiyo ambapo lisha
ya kuishukuru Wizara ya Afya kwa kwa kuendelea kuboresha huduma za afya.
Amemuomba Waziri wa Afya kumsaidia upatikanaji wa gari la wagonjwa (Ambulance)
katika vituo vya afya Kisesa na Ndagalu.
|
Baadhi ya
wakazi wa Kijiji cha Sese wilayani Magu waliohudhuria halfa ya kupokea nyumba
20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa, mkoani Mwanza.
|
Wachezaji wa
ngoza za asili kutoka Bujora wakitumbuizwa kwenye halfa hiyo ya kukabidhi
nyumba 20 mkoani Mwanza, kwa waziri wa afya.
|
Waziri wa
afya (wa tatu kushoto) pamoja na viongozi wengine wakicheza ngoma ya Kisukuma
kutoka kwa akina mama wa Kijiji cha Sese wilayani Magu.
|
Viongozi
mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya zoezi la kupokea nyumba 20 za
watumishi wa afya, zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani Mwanza.
|
Miongoni mwa
nyumba 20 za watumishi wa afya, zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa
mkoani Mwanza.
|
Baadhi ya
watumishi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa (wawili kushoto), wakitoa ufafanuzi wa
jambo kwa wanahabari.
|
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu
kulia), akiteta jambo na Mganga mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonald Subi (wa nne
kulia), katika Kijiji cha Sese wilayani Magu, ilipofanyika hafla ya upokeaji wa
nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani Mwanza.
|
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amepokea
nyumba ishirini kwa ajili ya watumishi wa afya katika wilaya za Magu na Ukerewe
mkoani Mwanza, zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa.
PICHA NA
HABARI: BINAGI MEDIA GROUP
|
No comments:
Post a Comment