Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC). - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Thursday, December 22, 2016

demo-image

Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC).

.com/simgad/
3
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC.

 Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Jaji Semistocles Kaijage ameteuliwa kuongoza Tume hiyo kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia December 20 2016.

1

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *