![]() |
Kaimu katibu
Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akiendelea na Zoezi la
Unyooshaji wa Viungo pamoja na Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe,Mkoani Kagera
Mhe. Godfrey Ayub Mheluka.
|
![]() |
Kaimu katibu
Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliano Ndg Mtemi Slyvester Yaredi
akiendelea na zoezi la kunyoosha viungo.
|
![]() |
Kijasho
chembamba kikimtiririka Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Yahya Kamteme
katika zoezi la unyooshaji wa Viungo Vya Mwili katika Viwanja Vya CCM Wilaya ya
Karagwe,mkoani Kagera.
|
No comments:
Post a Comment