Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo amesema
kuwa chanzo cha ajili hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa basi hilo ambapo amesema
kabla ya ajali kutokea tayari basi hilo lilikuwa limeyumba karibu mara tatu na
baadaye kupinduka kabisa.
|
Basi la kampuni ya New Force lenye
namba za usajili T429 DEU baada ya kupinduka eneo la Ilongwe kata ya Kifanya,
Mkoani Njombe.
|
No comments:
Post a Comment