TASWIRA PICHA:-Timu za Jeshi Yaagwa Leo Agosti 03,tayari kwa mashindano ya Afrika Mashariki ya Majeshi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 03, 2016

TASWIRA PICHA:-Timu za Jeshi Yaagwa Leo Agosti 03,tayari kwa mashindano ya Afrika Mashariki ya Majeshi.

Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita, Meja Generali Issa Nassoro (kushoto) akimkabidhi Bendera Mkuu wa Msafara wa timu teule za Jeshi, Brigedia Generali, Jairos Mwaseba, atakayeongoza timu itakayoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki yanayoanza Agosti 5 hadi 18,2016, Jijini Kigali Rwanda. 

Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam Agosti 3. 2016. (Picha na Seleman Semunyu, JWTZ).

JWTZ itashiriki katika michezo ya Majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kushindana kwenye Michezo ya soka wanaume, mpira wa mikono wanaume, netiboli wanawake na mbio za nyika wanaume na wanawake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad