PICHA 6:-Ndoa ikifungwa kwenye Daraja la kioo juu ya Bonde. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, August 15, 2016

PICHA 6:-Ndoa ikifungwa kwenye Daraja la kioo juu ya Bonde.

Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja la kioo.

Bibi harusi na Bwana harusi walioana katika daraja la Shiniuzhai katika mji wa Pingjiang jimbo la Hunan katika siku ya wapendanao ya uchina inayoadhimishwa tarehe 9 Agosti, Shirika la habari la China News Service limeripoti.

Licha ya kuelea angani yapata futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.

Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini Uchina hivi karibuni.


Hapana, hatukuwa na uhakika ni vipi waliweza kufika huko.

Wiki chache tu zilizopita , maharusi wengine waliamua kuvalishana pete kwenye daraja hilo hili ingawa hawakutoka kwenye daraja...BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILI.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad