![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa
Kahama mara baada ya kuwasili akitokea Nzega mkoa Tabora Leo Jumapili July 31,2016..
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akicheza jukwaani wimbo wa kwaya
ya Haleluya Kuu kutoka Kanisa la KKKT- Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga kabla
ya Kuhutubia mamia ya wakazi Kahama mkoani Shinyanga.
|

![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa
Kahama James Lembeli mara baada ya kuwasalimia wananchi waliofika kwa ajili ya
kumsikiliza Rais katika viwanja hivyo vya Kahama.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa
Isaka mkoani Shinyanga.
|

![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Mbunge wa
zamani wa Kahama James Lembeli ambaye ni mwanachama wa Chadema mara baada ya
kumaliza kuhutubia mkutano mjini Kahama mkoani Shinyanga.
|

![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akicheza pamoja na Wanakwaya wa
Haleluya Kuu kutoka Kanisa la KKKT- Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga mara baada
ya kumaliza kuhutubia mkutano Kahama mjini mkoani Shinyanga.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia mara baada ya kuoneshwa
picha na kijana mmoja aliyeishika picha hiyo.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa
Tinde mkoani Sinyanga. PICHA NA IKULU
|













No comments:
Post a Comment