TASWIRA PICHA 5:-Mbunge wa Kigoma mjini Mhe.Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa July 14,2016 Mjini Zanzibar. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 15, 2016

TASWIRA PICHA 5:-Mbunge wa Kigoma mjini Mhe.Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa July 14,2016 Mjini Zanzibar.

Pichani ni Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na Mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar hapo Jana July 14, 2016.

Hapa Chini ni Picha 5 za kutoka kwenye eneo la tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad