![]() |
|
Habari zainasema gari hilo
limeishainuliwa na safari
inaendelea.
Chanzo cha ajali hiyo kinaelezewa kuwa ilikuwa kuwakwepa watoto wawili waliovuka barabara ghafla na
bila tahadhali.
Dereva na Abiria wote
akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Mhe. Biswalo Mganga na msaidizi wake
inasemekana wametoka salama.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
|
Wednesday, July 13, 2016
Home
MATUKIO
PICHA 3 :-Msafara wa Dkt Harrison Mwakyembe Ukipata Ajali Leo July 13, 2016 –Bwanga mkoani Geita.
PICHA 3 :-Msafara wa Dkt Harrison Mwakyembe Ukipata Ajali Leo July 13, 2016 –Bwanga mkoani Geita.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.








No comments:
Post a Comment