TASWIRA PICHA:-Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani Ngara Atoaa Vifaa vya Michezo kwa timu ya Ntanga FC Lengo Kujenga Mahusiano baina ya Jeshi hilo na Raia. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, May 21, 2016

TASWIRA PICHA:-Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani Ngara Atoaa Vifaa vya Michezo kwa timu ya Ntanga FC Lengo Kujenga Mahusiano baina ya Jeshi hilo na Raia.

Jeshi la polisi wilayani Ngara mkoani Kagera limetoa Vifaa vya michezo kwa timu ya Ntanga FC iliyoko Kata ya Murusagamba,wilayani humo katika mwendelezo wa Polisi Jamii na Ulinzi Shirikishi kwa lengo la kujenga mahusiano baina ya Jeshi hilo na Raia.


Afisa Upelelezi wa Jeshi hilo wilayani Ngara, Mohamed Kipano na Mkuu wake Abeid Maige wameikabidhi timu ya Ntanga FC mpira wa thamani ya Sh.70,000 baada ya vijana wa timu hiyo kukata tamaa ya kiusalama katika kijiji hicho na sasa wamehamasishwa kushiriki michezo ili wasijiunge na makundi ya uhalifu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad