|
Mkutano wa
Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) unatarajia kuanza mjini Dodoma kesho
tarehe 19 Aprili 2016.
Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya kujadili na
kupitisha Bajeti ya Serikali.
Wabunge wote
wametakiwa kuwasili mjini Dodoma toka siku ya Jumapili tarehe 17 Aprili 2016.
|
No comments:
Post a Comment