KLABU BINGWA ULAYA 2015/2016:-Ratiba kamili ya hatua ya Nusu Fainali ipo kama Ifuatavyo.. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 15, 2016

KLABU BINGWA ULAYA 2015/2016:-Ratiba kamili ya hatua ya Nusu Fainali ipo kama Ifuatavyo..

Mechi za Kwanza za Nusu Fainali zitachezwa Aprili 26 na 27,2016 na Marudiano ni Mei 3 na 4,2016 huku Fainali ikichezwa huko Mjini Milan, Nchini Italy kwenye Uwanja wa San Siro hapo Mei 28,2016.

Droo hii ya Leo,Ijumaa April 15,2016 inamaanisha Straika wa Real Madrid , Cristiano Ronaldo, ambae ndie Mfungaji Bora wa Mashindano haya akiwa na Bao 16, anarejea Jijini Manchester ambako aliwahi kuchezea Mahasimu wa Man City, Manchester United.

Ronaldo, mwenye Miaka 31, pia ndie anaongoza katika Ufungaji Bora wa Mashindano haya katika Historia akiwa na Bao 93 katika Mechi 125.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad