TASWIRA PICHA:-Uwanja wa Kaitaba sasa kumalizika ujenzi wake…Mechi za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Kutazamwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 12, 2016

TASWIRA PICHA:-Uwanja wa Kaitaba sasa kumalizika ujenzi wake…Mechi za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Kutazamwa.

Dalili za Uwanja wa soka wa Kaitaba uliopo mjini Bukoba mkoani Kagera, kumalizika ukarabati  wake zaanza kuchomoza sasa baada ya vifaa kuwasili kukamilisha Matengenezo yake.

….’’Uwanja huu huenda ukaamalizika na kuanza kutumika kwa mechi za Ligi kuu  na Ligi Daraja la kwanza mwishoni mwa mwezi huu wa February…’’amesema Katibu mkuu wa chama cha soka mkoani Kagera KRFA Umande Salum Chama.



Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad