TASWIRA PICHA:-Ni foleni ya Magari baada ya Lori kubwa kufunga Barabara Eneo la Nyabugombe-mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 22, 2016

TASWIRA PICHA:-Ni foleni ya Magari baada ya Lori kubwa kufunga Barabara Eneo la Nyabugombe-mkoani Kagera.

Pichani ni Lori lenye tela likiwa limeziba njia mara baada ya kushindwa kupanda mlima Nyabungombe na kasha likarudi nyuma…..CHANZO CHAKE ni kukwepa mashimo yanayosababishwa na uchakavu /ubovu wa barabara ya Nyakanazi- Lusahunga – Rusumo - Ngara  na hapa ni katika eneo la mteremko/Mlima mkali wa Nyabugombe mpakani mwa Wilaya ya Ngara na Biharamulo mkoani Kagera,Lilisababisha Foleni kubwa ya Magari yanayotumia njia hiyo.


Foleni kubwa ya Magari ikisubiri kukwamuliwa kwa Lori hilo kuziba Barabara.


Pamoja na msululu wa magari ukisubiri kukwamuliwa kwa lori lililofunga njia,Barabara hii inamashimo makubwa (Pichani juu na chini) yaliyodumu kwa muda kadhaa,TANROAD KAGERA muipitie barabara hii kwani inahitaji matengenezo kwa kuyaziba mashimo hayo ili kupunguza ajali zitokanazo na ukwepaji wa mashimo baadhi yaliyomo.
Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad