AJALI / PICHA:-Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo baada ya Kupata Ajali. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 25, 2016

AJALI / PICHA:-Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo baada ya Kupata Ajali.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali jana,February 24,2016 jioni.
 
Taarifa ya Ofisi ya RTO Mbeya zimeeleza kuwa Dk. Tulia alipata ajali hiyo baada ya gari dogo aina ya Carina ambayo ilikua ikilipita Gari aina ya Fuso, kugonga gari alilokuwa akisafiria katika eneo la Kiwira jijini Mbeya.
Hakuna madhara makubwa kwa waliokuwa kwenye gari la Naibu Spika ila Dereva wa Gari dogo na mwanae kupata majeraha na wamelazwa Hospitali ya Igogwe wilayani Rungwe,mkoani Mbeya.


 Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad