Tamaza Picha 5 za wafanyakazi wa Radio Kwizera-Ngara walivyojiachia na camera yetu katika Siku ya wapendanao . - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, February 14, 2014

demo-image

Tamaza Picha 5 za wafanyakazi wa Radio Kwizera-Ngara walivyojiachia na camera yetu katika Siku ya wapendanao .

.com/simgad/
IMG_3570
....kama vile wanajadili mambo kuhusu Siku ya wapendanao ambayo ni sikukuu  huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day)...Na wafanyakazi wa Kituo cha Radio Kwizera FM-Ngara (97.9-Ngara,93.6-Kibondo na 94.2-Kasulu)wameshiriki kuadhimisha siku hiyo leo februari 14,2014 kama unavyowaona katika picha yao ya Pamoja wakiwa Kazini RK-Ngara.

IMG_3583
Hapa kulia ni  Dotto J.Bahemu,Joyce Ngallawa,Maria Philbert,Mwana wa Makonda(Mohamed Ramadhani Makonda CEO/Director wa Blog hii)Wiliam Mpanju na Shabani Nasib Ndyamukama katika picha ya pamoja leo Februari 14,2014 kuadhimisha  (Valentine Day)...nje ya ofisi za Radio Kwizera-Ngara-Kagera wakifurahi,kutabasamu na kuonesha upendo wao kwa pamoja.
IMG_3581
.........hili nalo ni moja ya pozi.........wakionesha upendo wao ..........hapa ilikuwa ni baada ya kupata kifungua kinywa cha Asubuhi .
IMG_3588
Wakapiga picha ya pamoja na Mkurugenzi wao Fr.Damas Missanga kama tukio muhimu la kuadhimisha  (Valentine Day)....na kwa pamoja Wanawatakia Heri katika siku ya Wapendanao.
IMG_3615
Kutoka kushoto ni Dotto J.Bahemu,Wiliam Mpanju,Mwana wa Makonda,Maria Philbert,Fr.Damas Missanga (mkurugenzi wa RK FM),Joyce Ngallawa na Shabani Ndyamukama wakitabasama na camera yetu nje ya ofisi za Radio Kwizera -Ngara leo februari 14,2014 ikiwa ni Siku ya wapendanao ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day)...sikiliza  Radio Kwizera FM kupitia (97.9-Ngara,93.6-Kibondo na 94.2-Kasulu na kupitia mtandao wa internet www.radiokwizera.com/www.radiostationstz.com).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *