Hivi ndivyo Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania alivyokabidhi Nyumba Mpya 35 za Walioathirika na Milipuko ya Mabomu ya Gongo la Mboto Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 15, 2012

Hivi ndivyo Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania alivyokabidhi Nyumba Mpya 35 za Walioathirika na Milipuko ya Mabomu ya Gongo la Mboto Dar es Salaam.


Baadhi ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto
katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama zinavyoonekana jana Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
(PICHA NA IKULU)


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala Desemba 13, 2012.


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa  kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Desemba 13, 2012.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walionufaika na hatua ya serikali ya kujenga  nyumba mpya 35 kwa ajili ya waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Desemba 13, 2012. Mama huyu ambaye alipoteza mume, amejengewa nyumba ya vyumba vitano pamoja na fremu ya duka.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad