Hali ya kijana Susuruka aliyetafunwa nyama za usoni na Mwajiri wake anaendelea vema na afya yake katika Hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma licha ya anapokula chakula ,vingne hudondokea chini. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 12, 2012

Hali ya kijana Susuruka aliyetafunwa nyama za usoni na Mwajiri wake anaendelea vema na afya yake katika Hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma licha ya anapokula chakula ,vingne hudondokea chini.


Hali ya kijana Susuruka aliyetafunwa nyama za usoni na Mwajiri wake imeripotiwa kuendelea vema na afya yake katika Hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma na kutokana na hali yake ilivyo napokula chakula ,vingne hudondokea chini.


Ndugu mtanzania ,kama unachochote usisite kufika hospitali ya wilaya ya kibondo kwa ajili ya kumsaidia kijana huyu Susuruka.

 


Picha na :http://jamesjovin.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad