|
Basi
la Mohamed Trans
|
Basi la
kampuni ya Mohamed Trans lililokua likisafiri
kutoka Bukoba Mjini kwenda jijini Mwanza limepata ajali huku abiria
wake wanusurika kifo.
Ajali hiiyo mbaya imetokea asubuhi ya leo (Agust
16) mwaka huu majira ya saa 1 kasorobo eneo la Kyetema umbali wa km 15 kutoka Bukoba mjini
ambapo chanzo cha ajali hiyo ni roli la mchanga kubamizwa ubavuni wakati likitaka kukata kulia kuelekea kwenye machimbo
ya mchanga huku nyuma likija basi hilo likiwa mwendo kasi.
|
Muonekano
wa ndani ya Basi hilo.
|
|
Picha juu na chini ni Roli
la mchanga baada ya kugongwa na basi la Mohamed Trans..
|
Source: bukobawadau.blogspot.com
Mungu mkubwa! tunashukuru kuwa hakuna vifo ktk ajali hiyo.
ReplyDelete