KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, April 07, 2012

KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.

Binafsi Nimepokea kwa Masikitiko makubwa Kifo cha Msanii Steven Charles Kanumba 1984-2012 kwa kudondoka gafla na kukimbizwa hospital ya Mwimbili na mauti yalipomkuta. Tunawapa pole ndugu jamaa na Marafiki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amen
 ”Bwana ametoa na Bwana ametwaa”“Siamini kama amekufa”.ni baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiwa hawaamini taarifa za kifo cha Steven Kanumba.
Umati wa watu ukiwa katika hali ya sijitambui nje ya nyumba aliyokuwa akiishi msanii wa filamu za bongo nchini Steven Kanumba.

Aidha wasifu wake Steven Charles Kanumba was born January 8th, 1984 in Shinyanga, Tanzania. Come from a Christian family of 3 children; 2 girls and Steven Kanumba as the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba.

Steven Charles Kanumba is a Tanzanian who is capable of speaking three Languages; Swahili, Sukuma(Native) and English.

Steven Charles Kanumba apart from acting he also loves to Watch movies, photography, singing, travelling, associates with people and make friends.
Education Background

            * Special Training from University of Dar Ess salaam by Dr. Nyoni.
            * Advanced Level: Jitegemee Secondary School in Dar es salaam, Tanzania.
            * Ordinary Level: Dar Es Salaam Christian Seminary Secondary School in Tanzania.
            * Primary Level: Bugoyi Primary School in Shinyanga, Tanzania.

Marital status: SINGLE.


Steven Charles Kanumba (born January 8, 1984), is a multi award winning Tanzanian actor, with a career spanning more  than a decade. Kanumba has received numerous awards, including; Best Actor of the Year, 2006, Best Actor in Tanzania Award, 2007, Best Artist of the Year  Award, 2007/2008.

Kanumba began acting at an early age, acting in as many church plays as he could, until he had the opportunity after leaving school to act and train with the Kaole Sanaa Group and receive special training with Dr Nyoni at the University of Dar es Salaam which served as a  major stepping stone for his mainstream acting career.

Kanumba began his acting career with appearances in a host of local Tanzanian soap operas like, Jahazi, Dira and Tufani just to name a few. He then expanded his horizon by venturing into the film industry, his first movie being Haviliki,  which was just the beginning of great journey, for  “The Great”.

Not only is Kanumba a Tanzanian household name, but he's also acted in Nollywood (Nigeria) with some of the greatest names on the Nollywood scene which expanded his career and experience from just being a Tanzanian star to an African star with ambitions of acting in Hollywood.
Having achieved so much before the age of thirty, Kanumba feels that he's only just begun. He looks forward to a long and fruitful career in every area of  the film industry.

Not only is he a successful film star and producer, he is also very active in philanthropy. He has recently been named the OXFAM GROW ambassador for Tanzania.

Kanumba extends his love and gratitude to each and everyone that has helped along the way in his career; "first and foremost The Lord God, My Family especially my Mother, Chrissant Mhengga, Kaole Sanaa Group, Mr & Mrs. Mtitu G Game, Sharifa Kalala, Sanura Husein,  Vicent Kigosi, Producers, Directors, Artists, Friends and Loved ones and last but not least my fans all around the world".
LAKINI WADAU WAMEKUWA WAKITOA HISIA ZAO KWA JINSI WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA STEVEN KANUMBA.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mh. Samuel Sitta akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican, Jijini Dar es Salaam  kujumuika na Watanzania katika kuomboleza kifo cha msanii huyo aliyefikwa na mauti usiku wa kumkia leo.

REGINALD MENGI (M/kiti wa makampuni ya IPP).
Its always very painful to lose young talents. R.I.P Kanumba

PROF JAY (Bongo Fleva Artist)
Daaah Gone too soon...REST IN PEACE KANUMBA THE GREAT.


PRODUCER MANECKY kutoka AM REC
Kama studio hivi nagonga ngoma flan yenye fillings kali mana naona kama Roy vile ilivyokuwa kama story kumbe kweli The Great ndo Katangulia..Mungu amlaze Mala Pema PePoni

WAKAZI (Bongo Fleva Artist)
Sijawahi kukutana na STEVE KANUMBA na wala sijawahi kuona Movie yake hata Moja, ILA impact yake kwetu ilinilazimu kumuweka in my Punchline in a Song called HIGHER "...Baller Kutoka Ukonga kama Sheby Kazumba/ Plus My Life is a Movie, Steve Kanumba/..."

Only GREAT People have had the Priviledge of makin it on my Name drop List, and for that, You didnt make a mistake callin your self just that.... Rest In Peace Steve Kanumba The Great!! © Wakazi

ROMA (Bongo Fleva Artist)

Dakika...chache baada ya show yangu ya musoma!! Napata taarifa za huu msiba wa THE GREAT K.A.N.U.M.B.A....sikuamini mpaka nilipopiga simu kwa mmoja wa mtu wake wa karibu na kunijibu huku analia kuwa bro hatunaye kweli na ndo' wao wanatoka muhimbili!!....ni msiba mzito na umewagusa wengi nikiwemo!! Pole sana kaole...pole game 1st quality...pole kwa mpinzani wake mkubwa Ray....pole kwa ben swahiba wake sana....dah pole kubwa kwa pacho mwamba!familia yake Na bongo movie wote...pamoja na watanzania wote!! TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI KAKA STEVE.....Tumuombee ndugu ye2 apumzike pema peponi!!na asamehewe dhambi zake!! Oooh kaka umetuacha ukiwa angali mdogo...inauma sana!!


MRISHO MPOTO (Bongo Fleva Artist)
NILIDHANI NIMESHAZOEA KUSIKIA HABARI ZA KUSHITUA, LAKINI KWA HII YA KANUMBA? SINA NGUVU TENA, KAMA MOSHI UMEKWENDA HAUTARUDI, KAMA JANI KWENYE MTI LIKIDONDOKA HALIRUDI. KANUMBA TUPE ANGALAU DAKI MOJA TUKUAGE RAFIKI YANGU, NAKUMBUKA UTANI WETU "FITINA MWAKA WAKO HUUMOJA" UMIMEBAKI HISTORIA KWELI? RUDI JAPO TUSEME NENO KWAHERI


MILLEN MAGESE (Fashion Model)

Rest in Peace my friend...you create jobs ,you believed on our own...and you took them as ur own and give them opportunities to believe on themselves and be who they wanna be and take acting as their career....Where do they go now.....Kanumba!!!? Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...Pigo la taifa jamani..Poleni Kaole poleni Tanzania...!


SOLO THANG (Bongo Fleva Artist)

R.I.P STEVEN KANUMBA,,,Mungu amekupenda zaid,,Pole kwa familia na ndugu wa karibu na wapaenzi wa bongo movie kwa ujumla,,,gone too soon Hommie!


JOYCE KIRIA (Mtangazaji)
sio Watengeneza Film tu, ila Watanzania tumepoteza kijana muhimu sanaa katika nchi yetu. Kifo hakikutenda haki kabisa, Kifo amekuwa mkatili na kila maneno tutasema. Ila mwisho wa siku tunasema Mapenzi ya Mungu yatimizwe. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe!!!KWA HISANI YA .djchoka.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad