![]() |
Wananchi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Kujenga Taifa, katika eneo hilo waliisaidia kuwanasua baadhi ya miili na majeruhi waliokwamba katika basi hilo na kukimbizwa katika Hospitali ya Mkoa ya Kigoma ,Maweni ambapo Mganga wa hospitali hiyo amesema, walipokea majeruhi 28 huku wanne wakiwa katika hali mbaya. |

![]() |
Kamanda wa Polisi wa mkoani Kigoma, ASP Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva kushindwa kuchukua tahadhali kabla ya kuvuka eneo la reli. |

No comments:
Post a Comment