![]() |
![]() |
Katika
mchezo huo nyavu za Singida United zilitikishwa mnamo dakika ya 22 na Salum
Kiwimbwa huku Mabao mengine ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Issa Rashid 'Baba Ubaya'
dakika ya 37 kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 78 na Ismail Kahesa dakika
ya 88 wakati ya Singida United yamefungwa na Salum Chuku dakika ya 43 na
Tafadzwa Kutingu dakika ya 69
Mtibwa sasa itakuwa mwakilishi wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu ujao kufuatia kuchukua ubingwa huo, na hii ni kwa mujibu wa sheria na kanuni za TFF kuwa bingwa wa FA ataiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo. |







No comments:
Post a Comment