![]() |
Kikundi cha Walemavu
Rulenge kilichopokea Shilingi milioni 2 na hapa wakionesha mbuzi walionunuliwa kutokana na kupokea Fedha za Mfuko wa Jimbo,
benki wameweka Shilingi 300,000 na kiasi kingine wamekopeshana kwa riba ya
asilimia 10 na kurejesha kila baada ya miezi mitatu.
Mwenyekiti
wa kikundi hicho Bw Charles Kagambokabi
anabainisha kuwa Jumla ya Mbuzi 11 wamenunuliwa na malengo ya kikundi hicho
chenye wanachama 28 ni kufikisha mbuzi 25 na kwamba kikundi kimelenga
kukopeshana, kupanda miti miche 5000 ambapo hadi sasa kimeuza miche 2000 sawa na
Shilingi 200,000.
|
Tuesday, June 05, 2018

Milioni 22 za Mfuko wa Jimbo zatumika Kuchochea Maendeleo Wilayani Ngara,Kagera.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment