![]() |
Ujenzi wa
Daraja la Kishara wilayani Muleba mkoani Kagera ukiendelea.Picha Na Lucy
Binamungu –Muleba.
|
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Bi. Constancia Buhiye amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Emmanuel Sherembi kusimamia na kuhakikisha
mapungufu yote yaliyobainishwa na wananchi yanafanyiwa kazi na kukamilika ndani
ya miezi 6.
Nae mlezi wa
mradi huo ahamie kwenye eneo la mradi huo mpaka mapungufu yatakapokamilika.
Katika ziara
hiyo, Kamati ya Siasa ya Wilaya itatembelea na kukagua Ujenzi wa Mradi wa
Daraja la Kishara, Mradi wa Umwagiliaji Buhangaza na Buyaga.
|

![]() |
Tenki laMaji la Maradi wa Maji Katoke, wilayani Muleba mkoani Kagera.
|
![]() |
Viongozi
mbalimbali wa Serikali na Kamati ya Siasa Mkoa wa Kagera na wilaya ya Muleba
ambapo ikiwa wilayani humo itatembelea na kukagua Ujenzi wa Mradi wa Daraja la
Kishara, Mradi wa Umwagiliaji Buhangaza na Buyaga.
|
No comments:
Post a Comment