
![]() |
Ubomoaji huo
unafanya na baada ya Notisi ya siku 30 kutolewa na Halmashauri ya Mji wa Kasulu
ambapo zoezi hilo limeripotiwa kuendelea vyema licha ya Malalamiko ya baadhi ya
Wananchi kupinga ubomoaji huo na wengine wakipongeza hatua hiyo na kuitaka
Mamlaka husika kulifanya zoezi hilo kwa kuzingatia HAKI ,WASIMUONEE MTU MNYONGE
NA WASIKWEPESHE VIPIMO KWA KUPOKEA RUSHWA.
|



No comments:
Post a Comment