![]() |
"Ni
kweli ajali imetokea imesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine 20,
majeruhi wengine walipata majeraha madogo madogo hivyo tayari wamesharuhusiwa
lakini majeruhi wengine watano nado wanapata matibabu"
Hii ni ajali
ya pili kwa mwaka huu inayohusisha basi za Tahmeed kutokea katika eneo la Kitumbi, Januari 29,
2018 basi jingine liliwaka na kuteketea kwa moto katika kijiji cha Kitumbi
wilayani Handeni mkoani Tanga.
|

No comments:
Post a Comment