Awali
ilikuwa ikifikiriwa kuwa mbwa hao ambayo ni familia ya wanyama walio kwenye
hatari zaidi ya kuangamia duniani, walikuwa wakipiga chafya ya kawaida.
Lakini
wakati watafiti walirekodi mikutano 68 ya mwa mwitu waligundua kuwa wakati
walipiga chafya zaidi walikuwa wakiondoka na kuanza wa kuwinda.
|
Dr King
anasema kuwa chafya hiyo ni lazima ifike kiwango fulani kabla ya wao kuamua
kufanya kitu.
Pia uutafiti
huo uligundua baadhi ya chafya huwa na uzito kuliko zingine.
|
No comments:
Post a Comment