Baada ya
kumfanyia uchunguzi dakari aligundua nyama nyeupe na kumtuma kwa daktari
Ramatri.
"Wakati
nilimfanyia uchunguzi aligundua meno saba," Dr Ramatri aliambia BBC.
Kisha
alilazimika kutoa meno hayo kwa njia ya upasuajia.
"Sasa mtoto
huyo anaweza kunyonya," dakatari alisema, lakini aliongeza kuwa ni vigumu
kujua ikiwa upasuaji huo utatatiza ukuaji wa meno ya mtoto huyo siku za usoni.
Habari-BBC Swahili.
|
Saturday, September 09, 2017
Madaktai watoa meno 7 kutoka kwa Mtoto wa mwezi mmoja India.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment