|
Basi la
Kampuni ya Adventure leo July 2, 2017 kutoka Kigoma kwenda Mwanza limepata
ajali likiwa njiani kuelekea Mwanza eneo la Busunzu baada ya kugongana USO kwa USO na Lori aina
ya Fuso.
Ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi na
taarifa zinasema kuwa hakuna vifo zaidi ya majeruhi kwa baadhi ya abiria.
HAPA CHINI TAZAMA PICHA ZAIDI ZA
AJALI HIYO NIMEKUWEKEA.
|
No comments:
Post a Comment