|
Abiria wa
Basi la Nyehunge kutoka Ngara mkoani Kagera kwenda Jijini Mwanza asubuhi ya Leo
July 12, 2017 wamenusurika Kifo baada ya basi hilo lenye namba za usajili T 136 AHY
kushindwa kupanda mpando wa mlima wa K9 barabara kuu ya Ngara –Benaco na kurudi
nyuma hali iliyozua taharuki wa abiria waliokuwemo.
Katika ajali hiyo hakuna majeruhi na abiria wametafutiwa usafiri mwingine na kuendelea na safari kama kawaida.
|
No comments:
Post a Comment