Taswira namna Rais Nkurunziza alivyomkabidhi tuzo ya Heshima msanii Natacha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 13, 2017

Taswira namna Rais Nkurunziza alivyomkabidhi tuzo ya Heshima msanii Natacha.

Msanii Natacha kutoka Burundi amefanikiwa kupata tuzo ya heshima kutoka kwa rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza.

Natacha amepatiwa tuzo hiyo Julai 01,2017 wakati wa sherehe za miaka 55 ya uhuru wa nchi hiyo. 

Baada ya kupata tuzo hiyo Natacha kupitia mtandao wa Instagram, ameandika ujumbe wa kufurahishwa kupata tuzo hiyo kutoka kwa rais Nkurunziza. 

I’m so happy because I was among the people who received the prize from his Excellency the President of the Republic of Burundi Pierre NKURUNZIZA. For me it’s a honnor to receive such Prize from the President. I will pray that God keeps on giving him the strength and the stamina to lead this beautiful Country. May God bless him and his family     I would like to let you know that,this gift is not only for Natacha but it is for all Burundian Artists in particular and all my fans in general   

Hii ni video Rais Pierre Nkurunziza akimkabidhi Natacha tuzo hiyo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad