|
Judith
Daines Wambura Mbibo ni mwanamuziki wa
Bongo Flava-Afro Pop kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la
kisanii kama Lady Jay Dee.
Anataraji
kufanya ziara ya kuwatumbuiza Mashabiki wake Mkoani Kagera kuanzia July 21 hadi
23, 2017 ambapo ataanzia wilayani Muleba Ijumaa July 21, 2017 katika ukumbi wa
NULPHIN HOTEL kwa Kiingilio cha Tsh.5,000/= tu.
Wilayani
Ngara ni Jumamosi ya July 22, 2017 katika Ukumbi wa MOORLAND PREMIER HOTEL’S
kwa kiingilioa cha VIP Tsh.8,000/= na Kawaida Tsh.5,000/=
Wakati siku
ya Jumapili July 23, 2017 atamalizia ziara yake Wilayani Karagwe katika Ukumbi
wa KDRDP kwa kiingilio cha Tsh.5,000/= tu.
Hakika si ya
kukosa Tour hii ya -Lady Jay Dee
|
No comments:
Post a Comment