PICHA:Askofu mteule wa Dayosisi ya Rwelu mkoani Kagera, Godfrey Mbelwa Asimikwa Mjini Muleba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 07, 2017

PICHA:Askofu mteule wa Dayosisi ya Rwelu mkoani Kagera, Godfrey Mbelwa Asimikwa Mjini Muleba.

Askofu mteule wa Dayosisi ya Rwelu mkoani Kagera, Godfrey Mbelwa ambaye alikuwa Katibu Mtendaji wa Dayosisi ya Kagera Murugwanza wilayani Ngara amesimikwa rasmi February 05,2017 na Askofu mkuu wa Anglikan Tanzania Dr Jacob Chimeledya katika viwanja vya kanisa la Anglikana mjini Muleba.


Tazama zaidi  picha za tukio hilo hapa chini nimekuwekea.


Post Bottom Ad