Taswira Picha ya Mnyauko wa Mahindi kutokana na kukosekana kwa Mvua Rulenge/Ngara-Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 13, 2017

Taswira Picha ya Mnyauko wa Mahindi kutokana na kukosekana kwa Mvua Rulenge/Ngara-Kagera.

Licha ya Mkoa wa Kagera kuonekana Mazingira yake kuwa kijani bado baadhi ya mashamba ya Mahindi yanaanza kunyauka kutokana na jua kali kama linavyoonekana shamba hili katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera.


PICHA NA SHABAN NDYAMUKAMA.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad