![]() |
|
Pichani Juu na Chini ni wawindaji wa wanyama waharibifu wa mazao,
kikundi cha ABATEKANASHA kutoka Kata ya Nyakibimbili, Bukoba Vijijini mkoani
Kagera ambao wamealikwa Kata ya Kanyigo, wilyani Misseny kwa shughuli hiyo
Julai 8 hadi 12,2016.
Mbwa wao mmoja humthamanisha
na ng'ombe mzima.Picha kwa Hisani ya Mutayoba Arbogast.
|
Thursday, July 07, 2016
Home
MATUKIO
TAZAMA PICHA:-Mbwa wakali wa Wawindaji wa Wanyama Waharibifu wa Mazao toka Mkoani Kagera.
TAZAMA PICHA:-Mbwa wakali wa Wawindaji wa Wanyama Waharibifu wa Mazao toka Mkoani Kagera.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment