TASWIRA PICHA:-Namna Real Madrid akichukua taji la 11 la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa penalti 5-3. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 29, 2016

TASWIRA PICHA:-Namna Real Madrid akichukua taji la 11 la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa penalti 5-3.

Mchezaji wa Reald Madrid, Cristiano Ronaldo akionesha alama ya vidole Vitatu ishara ya kubeba mara 3 akiwa na Klabu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya 2015/2016 baada ya kuifunga Atletico Madrid kwa penalti 5-3 usiku wa Jana May 28, 2016 kwenye Uwanja wa San Siro.

Real Madrid inafikisha mataji 11 ya Ligi ya Mabingwa, mengine ikitwaa misimu ya 1955 /1956, 1956 /1957, 1957 /1958, 1958 /1959, 1959 /1960, 1965 /1966, 1997 /1998, 1999 /2000, 2001 /2002 na 2013 /2014.

Sergio Ramos lifts the Champions League trophy after Real Madrid came out on top against Atletico Madrid

Ronaldo celebrates his winning spot kick after a tense penalty shootout resulted an 11th European Cup for Real Madrid
Ronaldo reserved himself for the fifth penalty and after Juanfran had struck the foot of the post he made no mistake
Cristiano Ronaldo akaenda kwa kujiamini kupiga penalti ya mwisho ya Real Madrid na kumtungua kipa Jan Oblak wa Atletico Madrid kuwapa Magalactiico taji la 11 la Ligi ya Mabingwa.

Wengine waliofungaa penalti za Real Madrid ni Lucas Vazquez, Marcelo, Gareth Bale na Sergio Ramos, wakati Atletico zimefungwa na  Antonio. Griezmann, Gabi na Saul.
Keylor Navas dives to his right and nearly gets fingertips onto Juanfran's penalty but it mattered not as the shot cannoned off the post
Kipa Keilor Navas Gamboa alijitanua vizuri langoni na Juan Francisco Torres Belen ‘Juanfarn’ akaona lango dogo na kugongesha nguzo ya pembeni penalti ya nne ya Atletico Madrid.
Juanfran trudges back to the centre circle after missing the crucial penalty to give Ronaldo the chance to clinch the victory for Madrid
Real Madrid players celebrate and their joy will spill long into the night after the club clinched their 11th European Cup at the San Siro
Atletico Madrid substitute Yannick Carrasco fires in from close range to bring his side level after 79 minutes of an absorbing encounter
The Belgian wheels away in delight having brought the scores level and the 22-year-old celebrated with his girlfriend on the sidelines 
Mchezo huo uliochezeshwa na marefa wa Uingereza, Mark Clattenburg aliyesaidiwa na Simon Beck na Jake Collin, Real Madrid walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa beki wake na Nahodha, Sergio Ramos dakika ya 15 aliyemalizia mpira wa kichwa wa winga Gareth Bale.

Kipindi cha pili, kocha Diego Simeone wa Atletico alianza na mabadiliko, akimpumzisha kiungo Muargentina mwenzake Augusto Matias Fernandez na kumuingiza kiungo Mbelgiji Yannick Ferreira Carrasco.

Mabadiliko hayo yalikuwa msaada kwa kikosi cha Simeone, kwani ni Carrasco aliyekwenda kuisawazishia Atletico dakika ya 79, akimalizia pasi ya Juan Francisco Torres Belen, maarufu kama Juanfran.

Bao hilo ‘likauamsha’ upya mchezo huo, timu zote zikicheza ka nguvu na kasi kusaka bao la ushindi, lakini dakika 90 zikamalizika kwa sare ya 1-1.
Real Madrid defender Sergio Ramos celebrates giving his side the lead with a close range finish after 15 minutes at the San Siro
Ramos steers the ball underneath fallen keeper Oblak as Atletico failed to play to their strengths in the first 15 minutes of the encounter
The 30-year-old defender showed once more his appetite for the big occasion by scoring a crucial goal in the Champions League final

Antoine Griezmann had the opportunity to restore parity three minutes into the second-half but he could only fire his shot onto the bar
Griezmann watches his shot rebound off the underside of the bar and into the sky as a good chance went begging for Atletico
The Atletico Madrid fans travelled in their numbers to Milan to get behind their team with the banner 'Your Values Make Us Believe'
Opera singer Andrea Bocelli performs prior to the  final and the Italian gave an unforgettable version of the Champions League anthem
Real Madrid supporters similarly unfurled a banner at the other end of the ground which translates as, 'Until the End, Come on Real!'
Alicia Keys provided the pre-match entertainment on the pitch during the opening ceremony to the 2016 Champions League final
An impressive fireworks display accompanied Keys' performance in the centre circle on a humid evening in Milan ahead of the game
Former Manchester United manager Sir Alex Ferguson - a winner of this competition on two occasions - was among those in the stands

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad