UDHIA, KADHIA NA KARAHA ZA AJALI:-Picha Abiria wasubiri saa 4 kutolewa tela la Lori baada ya Ajali Mafinga-Mufindi,mkoani Iringa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 01, 2016

UDHIA, KADHIA NA KARAHA ZA AJALI:-Picha Abiria wasubiri saa 4 kutolewa tela la Lori baada ya Ajali Mafinga-Mufindi,mkoani Iringa.

Hivi ndivyo vilivyowapata Jana January 31,2016,majira ya mchana mpaka jioni abiria wote wanaoenda na kutoka mikoa ya Nyanda za Juu kusini (Iringa, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi) na Nchi jirani baada ya ajali ya Lori na gari dogo maeneo ya mteremko wa changarawe eneo la Mafinga-Mufindi,mkoani Iringa. 
 
Imewalazimu abiria hao kusubiri zaidi ya masaa 4 kutolewa tera la Lori hilo lililoziba njia nzima.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad