TAZAMA PICHA:-Kamanda Mpinga na Mtego wa Wazee wa Kazi (Majambazi) akiwa ziarani Mpanda, Rukwa, Katavi na Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 01, 2016

TAZAMA PICHA:-Kamanda Mpinga na Mtego wa Wazee wa Kazi (Majambazi) akiwa ziarani Mpanda, Rukwa, Katavi na Kigoma.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga,Pale alipokutana na Mtego wa Wazee wa Kazi (Majambazi) akiwa ziarani Mpanda, Rukwa, Katavi na Kigoma.


Mawe yalitegwa barabarani bahati nzuri walikuwa na ulinzi imara mbele wakakutana na Basi la Adventure pichani walilazimika kulisindikiza hadi lipite eneo hilo, maana inaelekea ndio ilikuwa target. Na ilikuwa ni saa 5asubuhi tu. Hili limenifanya nitafakari kidogo ile hoja yangu ya mabasi baadhi ya sehemu kuruhusiwa kutembea usiku.


Picha zote kwa hisani ya ROAD SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA...........Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad