VPL 2015/2016 :-Matokeo ya mechi zote za VPL zilizopigwa leo December 19,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 19, 2015

VPL 2015/2016 :-Matokeo ya mechi zote za VPL zilizopigwa leo December 19,2015.

TZ Prisons vs Mbeya City
Kikosi cha Simba SC kimeendelea kushindwa kutamba mbele ya Toto Africans ya Mwanza baada ya leo December 19,2015 kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.

Hiyo ni sare ya pili mfululizo kwa kikosi cha Simba SC baada ya kulazimishwa sare kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Azam FC wakienda sare kwa kufungana bao 2-2 uwanja wa taifa.

 Matokeo ya mechi zote za VPL 2015/2016  zilizopigwa leo December 19,2015-yako hivi;-

Yanga SC 4-0 Stand United (Uwanja wa Taifa-Dar es Salaam) 

Mwadui FC 2-1 Ndanda FC (Mwadui Complex-Shinyanga)

Kagera Sugar 1-0 African Sports (Ali Hassan Mwinyi-Tabora)

Tanzania Prisons 0-0 Mtibwa Sugar (Sokoine Stadium-Mbeya)

Toto Africans 1-1 Simba SC (CCM Kirumba-Mwanza)

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad