TAZAMA TASWIRA PICHA:-Ubovu wa eneo la Nyabugombe barabara ya Nyakanazi – Ngara unavyoangusha Magari. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 20, 2015

TAZAMA TASWIRA PICHA:-Ubovu wa eneo la Nyabugombe barabara ya Nyakanazi – Ngara unavyoangusha Magari.

Ni muonekano wa Lori la Mizigo katika barabara ya Nyakanazi-Ngara eneo la mteremko mkali wa Nyabugombe mpakani mwa Wilaya ya Ngara na Biharamulo mkoani Kagera,ambalo lilipata ajali ya tela lake kung'oka na kukwama katikati ya barabara hiyo na kuleta shida ya magari kupita kama picha zinavyoonesha hapa chini.



.........Hili ndilo tela lililong'oka na kujikita chini ,hali iliyoleta ugumu wa magari yanayopanda mlima huo na kuteremka kupata ugumu kupita,kwa sasa limeondolewa .changamoto imebaki katika ubovu wa eneo hilo kujaa mashimo.


Fuso hili lilianguka pembezoni mwa barabara ya Nyakanazi-Ngara eneo la mteremko mkali wa Nyabugombe ,baada kufeli kupanda mlima na kurudi nyuma,hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad