 |
|
Uchaguzi
Mkuu nchini Tanzania kwa mujibu
wa Sheria na Katiba wa Madiwani, Wabunge na Rais wa awamu ya tano Tanzania,umekamilika
lakini bado kuna Majimbo ambayo uchaguzi haukufanyika kwa sababu mbalimbali
ikiwemo Wagombea wake kufariki… hii ni Taarifa ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi NEC ina orodha ya Majimbo na Kata pamoja na tarehe ya
kufanyika kwa Uchaguzi huo wa Wabunge na Madiwani.
|
RATIBA YA
UCHANGUZI KATIKA MAJIMBO MENGINE NI HII.
 |
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .
|
No comments:
Post a Comment