CECAFA CHALENJI CUP 2015:-Kila la heri Kilimanjaro Stars Jumamosi Novemba 28,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 26, 2015

CECAFA CHALENJI CUP 2015:-Kila la heri Kilimanjaro Stars Jumamosi Novemba 28,2015.

Pichani, Kocha Mkuu wa Kili Stars, Abdallah Kibadeni amesema pamoja na kuwa wamepanga kushinda mechi zote za hatua ya makundi katika michuano ya Chalenji Cup 2015.

Kibadeni amesema pamoja na kuwa mchi ya mwisho ya makundi watamaliza na wenyeji Ethiopia, bado wanataka kushinda mchezo huo.

“Itakuwa mechi ngumu zaidi kwa kuwa tunakutana na wenyeji. Lakini lazima tushinde na tumepania kufanya hivyo.

“Kushinda mechi zote za makundi kuna faida mbili, kwanza kupata nafasi kwa uhakika hatua ya robo fainali.

“Pili imani ya kikosi kwa maana ya kujiamini kutokana na kushinda. Hali ambayo itasaidia katika mechi zijazo,” alisema.

Kili Stars imecheza mechi mbili za michuano ya Chalenji ikianza kwa kuitwanga Somalia kwa mabao 4-0 kabla ya kivurumisha Rwanda kwa mabao 2-1 katika mechi ya pili.

MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI

Ijumaa Novemba 27,2015.

1400 Rwanda Vs Somalia

1600 Zanzibar Vs Kenya

1800 South Sudan v Malawi

2000 Djibouti V Sudan

Jumamosi Novemba 28,2015.

1400 Uganda Vs Burundi

1600 Tanzania Vs Ethiopia

Robo Fainali

Jumatatu Novemba 30,2015.

B1 Vs C2 [19]

A1 Vs best Q2 [20]

Jumanne Desemba 1,2015.

C1 Vs best Q2 [21]

A2 Vs B2 [22]

Nusu Fainali

Alhamisi Desemba 3,2015.

Mshindi 19 Vs Mshindi 20

Mshindi 21 Vs Mshindi 22

Jumamosi Desemba 5,2015.

Mshindi wa Tatu

Fainali

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad