Usiku wa
jana October 21,2015, Mechi 8 za Makundi A hadi D ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE
2015 / 2016 ambazo ni Mechi za 3 kwa kila
Timu, zilichezwa ,sambamba na zile za October 20,2015 na ifuatayo ni MATOKEO MECHI ZA JUMANNE NA JUMATANO.
Uwanja wa Parc
des Princes, Paris ulishuhudia Sare ya 0-0 kwenye Mechi ambayo ilitegemewa ndio
Bigi Mechi kwa Paris St Germain
walipotoka 0-0 na Real Madrid katika Mechi ya Kundi A.
October 21,
20115.
|
No comments:
Post a Comment