TASWIRA PICHA:-Rais Kikwete katika ziara ya Kuaga Nchini Kenya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Monday, October 05, 2015

TASWIRA PICHA:-Rais Kikwete katika ziara ya Kuaga Nchini Kenya.

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili October 04,2015, jioni.

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella  eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni.

 Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo.

 Rais Kikwete akishuka katika ndege

 Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

 Rais Kikwete akipokea shada la maua

 Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya

 Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya

 Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya

 Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto.

 Rais Kikwete akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto.

 Rais Kikwete na mwenyeji wake Naibu Rais wa Kenya Mhe Wiliam Ruto wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma vilivyokwenda kumpokea uwanja wa ndege.

 Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto.

 Rais Kikwte akiweka saini kitabu cha wageni

 Rais Kikwete akiangalia picha mbalimbali zenye historia ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.

 Mratibu wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisom ratiba wakati wa kuanza kwa shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi .

  Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika  shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi.

 Balozi wa  Tanzania nchini kenya Mhe John Haule akiongea wakati wa hafla ya Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya waliyoandaa kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad