![]() |
Ashukuriwe Mungu kwa kuepusha madhara kwenye hii ajali ya gari la Bunge katika msafara wa kumsindikiza Marehemu Deo Filikunjombe.Polisi:"Ajali hiyo ni kweli imetokea kwa makadirio ni km 70 kabla hujaingia Ludewa,waliokuwemo kwenye gari ni Katibu wa Spika,Commissioner wa Bunge na Dereva na wote wako salama.
Taarifa
toka kwa AF - RTO Njombe,chanzo chake ni tairi ya nyuma kupasuka, gari tayari
imeisha ondolewa eneo la tukio kwa kubadilisha tairi na kuendeshwa."..Picha
zote kwa Hisani ya ROAD
SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA.
|
![]() |
No comments:
Post a Comment