SOKA LETU 2015/2016:-Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania ya mechi za October 3 na 4,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 03, 2015

SOKA LETU 2015/2016:-Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania ya mechi za October 3 na 4,2015.

Fahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali kwa msimu wa 2015/2016 ambazo zitachezwa siku ya Jumamosi ya October 3 na Jumapili ya October 4. Naomba nikusogezee karibu yako ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania, hii ni ratiba ya mechi za Ligi hizo zitakazochezwa  Jumamosi na Jumapili..Kwa hisani ya MILLARDAYO.COM
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara weekend hii ila zilizoandikwa kwa wino wa rangi nyekundu zimehairishwa.

Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza EPL 2015/2016 - October 3,2015.
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza October 3,2015 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Crystal Palace Vs West Brom saa 14:45
  • Aston Villa Vs Stoke saa 17:00
  • Bournemouth Vs Watford saa 17:00
  • Man City Vs Newcastle saa 17:00
  • Norwich Vs Leicester saa 17:00
  • Sunderland Vs West Ham saa 17:00
  • Chelsea Vs Southampton saa 19:30
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4,2015.

Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4,2015 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Everton Vs Liverpool saa 15:30
  • Arsenal Vs Man Utd saa 18:00
  • Swansea Vs Tottenham saa 18:00

Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya mechi za Jumamosi ya October 3,2015.

Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya mechi za Jumamosi ya October 3,2015 Saa za Afrika Mashariki..

  • Sevilla Vs Barcelona saa 17:00
  • Granada CF Vs Deportivo de La Coruña Saa 19:15
  • Espanyol Vs Sporting de Gijón Saa 21:30
  • Las Palmas Vs Eibar Saa 23:00
  • Málaga Vs Real Sociedad Saa 23:05
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4,2015.

Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Rayo Vallecano Vs Real Betis 13:00
  • Ath Bilbao Vs Valencia 17:00
  • Levante Vs Villarreal Saa 19:15
  • Atl Madrid Vs Real Madrid Saa 21:30
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad