AJALI / PICHA:- Taswira wakati gari nne zikipata ajali September 30,2015 eneo la Misugusugu,Kibaha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, October 01, 2015

AJALI / PICHA:- Taswira wakati gari nne zikipata ajali September 30,2015 eneo la Misugusugu,Kibaha.

Taarifa inasema chanzo ni kutokuwa makini kwa dereva wa Basi la Ngorika alikuwa anaovateki bila tahadhali, ghafla Coaster hii hapa akajaribu kwenda kulia zaidi ikawa too late akaishia kugongana. Inasemekana kuna Vifo viwili na majeruhi.


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad