Makanisa
yaliyochomwa moto ni Pentecostal Assembilie of God (PAG) kata bakoba eneo la
buyekera,Living Water International na Evangelical Assemblies of God (EAGT)
kata ya Kibeta yote ya mjini Bukoba .
Chanzo chake hakijafahamika ambapo
wachungaji na viongozi wa kiroho wanaomba vyombo vya dola kuwabaini wahusika.
kamanda wa
polisi mkoani kagera Augstine Oromi amedhibtisha kutokea kwa tukio hilo na
amemweleza mwandishi wa mtandao huu kuwa yupo katika ziara ya kazi wilayani Ngara,mkoani
Kagera hivyo atatoa taarifa baadaye.
Matukio ya
makanisa kuchomwa yameshamiri katika manispaa ya bukoba ambapo hili ni tukio la
sita kwa kipindi cha mwaka mmoja.
|
No comments:
Post a Comment