![]() |
|
Baadhi ya
wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa
kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa Mbezi
Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo
Serikali ya CCM imepanga kuyapima maeneo ya viwanja na kuyakabidhi kwa wananchi
jimboni humo ili kuwawezesha wamiliki kuyatumia kama dhamana pamoja na kuwalipa
fidia wananchi 8,365 wa Mloganzila ili kupisha uendelezaji wa eneo
lililoitajika kwa maendeleo.
Mgombea
mwenza alifanya mikutano yake ya kunadi ilani ya CCM katika Jimbo la Kinondoni
maeneo ya Mbezi, Mburahati, Mwananyamala na Msasani (Namanga) jijini Dar es
Salaam.
|
![]() |
|
Mjumbe wa
Kampeni za CCM Taifa, Ajela Kairuki akibainisha ilani ya Serikali itakayoundwa
na CCM kwa wananchi.
|
![]() |
|
Baadhi ya
wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa
kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye Viwanja vya
Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Mgombea
mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akiwanadi wagombea udiwani wa Jimbo
la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu
Mburahati jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
![]() |
|
Meya wa
Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Hawa Ng’umbi
akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais,
Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu
Mburahati jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Katibu
Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba
‘Gadafi’ akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye
uwanja wa Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Baadhi ya
wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa
kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa
Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Baadhi ya
wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa
kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa
Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam.
*Imeandaliwa
na www.thehabari.com
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
















No comments:
Post a Comment